mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
USIKU WA DENI...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaelewa ulichokiandika Mtani? Hivyo kile kichapo cha bao moja kwako hukihesabii. 😂😂😂
Kisa Morison yuko Simba ama? 🤔
Wacha kujitoa ufahamu huku ukijua fika hapa tukisema mechi ya mwisho ya VPL kati ya Simba na Yanga inahesabika ni wewe ndo ulikalishwa kwa bao moja.
Hapo miaka minne haipo tena.
KumekuchaaaaUSIKU WA DENI...
Sijawahi ona hii bro yaani wanaruka miaka eti. 😂😂😂Ya Morrison kafuta![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee washabiki wa Simba bwana!! Ha ha ha ha ha
Umekucha haraka eee. 😂😂😂USIKU WA DENI...
Hahahahaaa. Waje waje tuna jambo letu saa kumi na moja.Wakuu mbona Nina ma confidence ya kutosha kuhusu game ya kesho!?
😂😂 Nimekuja Mtani.Mtani nakusalimia, uwe na VPN usiwe nayo, leo tunakuhitaji humu.
Hatimaye.Kumekuchaaaa
Umekucha haraka eee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Saafi sana. Leo siko poa hivyo nauchekia home tu mie.Nipo Kwenye Kuitafuta Mkapa Muda Huu. Usijari Mtani Nitakuwakilisha Vyema.
Za Siku Mtani Mzima Mtani Wangu.
Unahabari kuwa hamtoki leo? 😎😎Nipo Kwenye Kuitafuta Mkapa Muda Huu. Usijari Mtani Nitakuwakilisha Vyema.
Za Siku Mtani Mzima Mtani Wangu.
Aah wappi.Kuna amesema tunaendelea tulipoishia.
Yaani siku ile ilikuwa 4-1 kwa hyo tunaendelezea hapo
😀😀😀Leo sijui mtatokea mlango gani 😄😄😄😄😃
Pole Mtani, Nashukuru Allah Niko Poa.Saafi sana. Leo siko poa hivyo nauchekia home tu mie.
Za siku salama kabisa Mtani Alhamdulillah naendelea salama sijui wewe?
Sina Hakika Na Hili Japo Kiroho Kinadunda Acha Tu.Unahabari kuwa hamtoki leo? 😎😎
Usiseme hauko upo,Saafi sana. Leo siko poa hivyo nauchekia home tu mie.
Za siku salama kabisa Mtani Alhamdulillah naendelea salama sijui wewe?