Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi unaelewa ulichokiandika Mtani? Hivyo kile kichapo cha bao moja kwako hukihesabii. 😂😂😂

Kisa Morison yuko Simba ama? 🤔

Wacha kujitoa ufahamu huku ukijua fika hapa tukisema mechi ya mwisho ya VPL kati ya Simba na Yanga inahesabika ni wewe ndo ulikalishwa kwa bao moja.

Hapo miaka minne haipo tena.

Mtani nakusalimia, uwe na VPN usiwe nayo, leo tunakuhitaji humu.
 
Back
Top Bottom