Umepata point ngapi? Yani unamhesabia na Morrison? [emoji23][emoji23][emoji23]Bila fraga, MK14, Morrison, mgalu wakati utopolo mkiwa na wachezaji wote + refa.[emoji382][emoji382][emoji382]
We are still UNBEATEN buddy. Watu wanashingilia draw huko mpaka koo zimewakauka.Leo tumeshindwa kumaliza mchezo Farid Mussa amekosa goli la wazi kabisa naamini leo akilala ataliota all in all ngoma drow tujipange kwa raund ya pili
Mie nacho jua nimepata point tatu au kuna tatizo boss😁Umepata point ngapi? Yani unamhesabia na Morrison? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa lipi jipya leo ilikuwa mpigwe 3 nunge mikia vibabuBila fraga, MK14, Morrison, mgalu wakati utopolo mkiwa na wachezaji wote + refa.[emoji382][emoji382][emoji382]
Hata sisi tumekosa tena sio magoli tu tumekosa hadi wachezaji muhimu ambao wangekuwepo tungepata ushindi wa kishindoLeo tumeshindwa kumaliza mchezo Farid Mussa amekosa goli la wazi kabisa naamini leo akilala ataliota all in all ngoma drow tujipange kwa raund ya pili
Wanashangilia ushindi mkuu au unahesabu gori La refa😁😁We are still UNBEATEN buddy. Watu wanashingilia draw huko mpaka koo zimewakauka.
Kwahiyo mmeshinda moja bila au sio?Wanashangilia ushindi mkuu au unahesabu gori La refa[emoji16][emoji16]
Wajinga hao, mi nashangilia goli lenye limekidhi vigezo vya kuitwa goli halaliWe are still UNBEATEN buddy. Watu wanashingilia draw huko mpaka koo zimewakauka.
Labda marefa wangeongezwa wengine!!😁😁Kwa lipi jipya leo ilikuwa mpigwe 3 nunge mikia vibabu
Sasa mbona pale mna point moja kwenye msimamo boss? Tuletee msimamo wako binafsi tuuone.Mie nacho jua nimepata point tatu au kuna tatizo boss[emoji16]
YapKwahiyo mmeshinda moja bila au sio?
Hahahah kwahiyo mmeshinda au sio?Wajinga hao, mi nashangilia goli lenye limekidhi vigezo vya kuitwa goli halali
Basi wakumbusheni wawawekee point yenu hapo mzee
Wameweka mbona au una macho mabovu!!Basi wakumbusheni wawawekee point yenu hapo mzeeView attachment 1621516
Sawa mtani leo shangilia drow maana nilikukaba Koo hadi dkk 86 ndo unarudi mchezoniHata sisi tumekosa tena sio magoli tu tumekosa hadi wachezaji muhimu ambao wangekuwepo tungepata ushindi wa kishindo