Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo tumeshindwa kumaliza mchezo Farid Mussa amekosa goli la wazi kabisa naamini leo akilala ataliota all in all ngoma drow tujipange kwa raund ya pili
 
Kwasababu leo mmeachiwa shuka basi Siku nyingine mtajifunza kuwa kumdhamini masai ni bonge ya risk
 
Leo tumeshindwa kumaliza mchezo Farid Mussa amekosa goli la wazi kabisa naamini leo akilala ataliota all in all ngoma drow tujipange kwa raund ya pili
Hata sisi tumekosa tena sio magoli tu tumekosa hadi wachezaji muhimu ambao wangekuwepo tungepata ushindi wa kishindo
 
Basi wakumbusheni wawawekee point yenu hapo mzee
JamiiForums1357148094.jpg
 
Hata sisi tumekosa tena sio magoli tu tumekosa hadi wachezaji muhimu ambao wangekuwepo tungepata ushindi wa kishindo
Sawa mtani leo shangilia drow maana nilikukaba Koo hadi dkk 86 ndo unarudi mchezoni
 
Back
Top Bottom