Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wamesema hawaingizi timu uwanjani mpaka kadi ya OKWI (ambayo inamkosesha mechi 3 ikiwemo ya Yanga) ifutweSafiii! Tarehe tatu tunachukua pointi kwa mtu no no mnyama!
Simba wamesema hawaingizi timu uwanjani mpaka kadi ya OKWI (ambayo inamkosesha mechi 3 ikiwemo ya Yanga) ifutwe
Eti ni kweli yanga mnaleta kocha mpya kutoka India au Pakistan?
Hivi mkuu......Kwa nini usiliweke hili kwenye thread yenu?.......
Azam ndo wana kocha toka India bana......Eti ni kweli yanga mnaleta kocha mpya kutoka India au Pakistan?
Hivi mkuu......Kwa nini usiliweke hili kwenye thread yenu?.......
Sidhani kama kuna umuhimu wowote wa kuiweka hii kwenye thread hii
huyo ndetichia anaakili sana, anajua ukuta wa azam hauna wasomaji so, ameamua kuleta hapa kwenye mvutoHivi mkuu......Kwa nini usiliweke hili kwenye thread yenu?.......
Sidhani kama kuna umuhimu wowote wa kuiweka hii kwenye thread hii
Jamani mwenye kufahamu anijuze hizo salamu za Simba(mechi kati ya Yanga na African Lyon inaanza saa ngapi)?
Timu yenu wenyewe halafu unatuuliza sisi?, usihofu mtani niko na kiredio changu cha mkulima mechi ikianza nitakupa update.Jamani mwenye kufahamu anijuze hizo salamu za Simba(mechi kati ya Yanga na African Lyon inaanza saa ngapi)?
Mechi imeshaanza tayari, nadhan imeanza saa kumi na moja kamili.
Hapa mtachukua point tatu labda wachezaji wafanye uzembe.Okay thanks.