Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yaani game ya Jana Yanga tumecheza mpira mbovu, kifupi timu haikuwa malengo, Faridi na Feisal Jana sijui nini kiliwasibu, Ila Farid ndiyo aliharibu Sana. Anyway Wanayanga hata haya nayo ni matokeo, tujipange mechi ijayo, hakika hii ligi si ya kitoto. Jana nimemkumbuka Papa Ndama Moringa pale mbele.
 
Ngassa na Msuva wanabak kua mawinga wenu bora wa miaka 15 iliyopita

huyu jamaa, sion akifikia expectations
Huyu jamaa sijui shida iko wapi kwani kuna baadhi ya game anashine sana ila zingine hadi wasahau kama yupo uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…