Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao tunakufa nao, tena huko huko kwaoSiku sio nyingi tutalala mungine utakaoletwa na hisani ya Plateau. Teh.
Ngassa na Msuva wanabak kua mawinga wenu bora wa miaka 15 iliyopita
Mchezaji mzuri ila mapepe mengi, selfish vilevile, sijui wameaidiwa mtu akifunga anapata helaNgassa na Msuva wanabak kua mawinga wenu bora wa miaka 15 iliyopita
huyu jamaa, sion akifikia expectations
Kila la kheri Mtani katika kuokota mupira kunyavu. Teh.Hao tunakufa nao, tena huko huko kwao
Huyu jamaa sijui shida iko wapi kwani kuna baadhi ya game anashine sana ila zingine hadi wasahau kama yupo uwanjani.Ngassa na Msuva wanabak kua mawinga wenu bora wa miaka 15 iliyopita
huyu jamaa, sion akifikia expectations