Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nionavyo awe mtulivu mana kama ameukosa.hakika Yacouba alipaswa kufunga goli walau moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nionavyo awe mtulivu mana kama ameukosa.hakika Yacouba alipaswa kufunga goli walau moja
hakika ametoa pas Safi kabisa Kaseke bila kupepesa macho kafanya pres yakiwango....Nionavyo awe mtulivu mana kama ameukosa.
Yah!! Katoa bonge la pasi.hakika ametoa pas Safi kabisa Kaseke bila kupepesa macho kafanya pres yakiwango....
[emoji23][emoji23][emoji23] ile pasi ya VPNYah!! Katoa bonge la pasi.
1-1Sasa hapa Yanga tutulie yasije kutokea yale ya game yetu na Mikia mana tulipokonywa tonge mdomoni.
Ikibidi tuongeze la pili ili tukae kwa kutulia. Teh.
Leo hatukubali Mtani. 😎
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] ile pasi ya VPN
Bado HB wakirenoDkk ya 70
Anatoka Ditram anaingia Sarpong
Jasusiii moro[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1634707