Naona kama Sub zetu zimeisha au mwisho kubadilisha ni wachezaji wangapi?Bado HB wakireno
Huyo ni Kaseke mbona.Jasusiii moro
Bana mimi ninafuraha sijaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo ni Kaseke mbona.
Au sijakuelewa nini umemaanisha?
πππ tutaikamilisha siku ya mechi ya Plateau. ππBana mimi ninafuraha sijaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Bana mimi ninafuraha sijaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ivi game yao wanacheza lini?[emoji23][emoji23][emoji23] tutaikamilisha siku ya mechi ya Plateau. [emoji23][emoji23]
πππ .[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni sub ya ovyoDkk ya 67
Anatoka Kaseke anaingia Farid Mussa
Nilisikia Novemba 28 sa sina hakika.Ivi game yao wanacheza lini?
Dk ya ngap huko DadaNawaza wale wachambuzi uchwara leo game ikiisha namna hii sijui watachambua nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
owkey ngoja ni-GoogleNilisikia Novemba 28 sa sina hakika.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sifa zote zitaenda kwa Yanga.....Nawaza wale wachambuzi uchwara leo game ikiisha namna hii sijui watachambua nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huenda Kocha ana mipango yake.Hii ni sub ya ovyo
PLATEAU UNITED - SIMBA SC