Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Afadhali yako wewe umelijua hilo, watajitokeza tu wenzio wasioelewa waanze kulaumu. Tena bora hivyo mlivyobahatisha hako ka ushindi maana maneno yatapungua😀😀😀Mie naamini alikosa utulivu tu na si kingine.
Na wewe bahatisha basi kama ni rahisi ili ututowe pale kileleni. 😀😀Afadhali yako wewe umelijua hilo, watajitokeza tu wenzio wasioelewa waanze kulaumu. Tena bora hivyo mlivyobahatisha hako ka ushindi maana maneno yatapungua😀😀😀
Ligi bado mbiichi kabisa Shadeeya. Kwani una shaka na kikosi kipana cha Lunyasi? Muda utakapofika wa kuwatimulia vumbi hata huyo Kaze wenu mtamgeukaNa wewe bahatisha basi kama ni rahisi ili ututowe pale kileleni. 😀😀
Endelea kusema bado mbichi mtakuja kushtikuta imeozaLigi bado mbiichi kabisa Shadeeya. Kwani una shaka na kikosi kipana cha Lunyasi? Muda utakapofika wa kuwatimulia vumbi hata huyo Kaze wenu mtamgeuka
Huyu mchezaji si mbaya hivyo. Ninachojua kule Asante Kotoko alikuwa anacheza kama namba 10 zaidi. Na kama ukimfuatilia zaidi utaona majukumu ya namba 10 anayafanya kwa kiasi kikubwa,japo simaanishi anatakiwa awe anakosa magoli kama vile Leo ila naamini hawa wwshambuliani wetu wote wawili ni wazuri ila bado hawajapatiwa namna ya kutumika. Mwalimu aendelee kuangalia tunapofeli ili awa unlock
Huu ni mpira kukosea pia ni sehemu ya mchezoSidhani kama mwalimu hawajawapatia namna nzuri ya kutumika. Tatizo hawana utulivu, wanafanya maamuzi ya papara sana. Tusubirie tu yule mburundi pengine anaweza kutusaidia tatizo sugu la ukosaji wa mabao. Tumepoteza point nane zote ni kwa uzembe wa umaliziaji wa mpira. Tungekuwa na washambuliaji wakueleweka tusingekuwa na sare hata moja mpaka sasa
Tuliwazidi kila idara shemela.Full time Statistics
Possession
Azam 46 Yanga 54.
Round ya pili Mikia FC tunawagonga!Huyu kaze aletewe straika wazuri dirisha dogo ili aturudishe Champions league, hivi Mikia Fc walivyolegea vile wanawezaje kuchukua kombe mbele yetu!![emoji16][emoji16][emoji119]
itakua aibu ya karne
Tena sio bao moja ambalo watafurukuta mwishowe warudishe.Round ya pili Mikia FC tunawagonga!
"DaimaMbeleNyumaMwiko"Yangaaaaa.....