Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie Shemela kwema huko?Cc shemela.
Ulimuona juzi mechi na Singida yule Seido ni mtu na nusu aisee.Kwenye hiki kikosi cha Yanga sasa naona ushindani ni Mkubwa sana hivyo mtu akitoka kidogo kwenye mstari inabidi atumie nguvu sana kurudi. Na kwa bahati mbaya huyu Saido naye ndio anaingia na si mbovu,hivyo hali itazidi kuwa taiti zaidi
Doooh!! Kuwa mkweli bana Mtani.Roho wala haiumi
😂😂😂😂KWA HII YANGA ILIVYO KWA SASA WA KUIZUIA NI MUNGU MWENYEWE MUUMBA WA VYOTE!
Daima Mbele Nyuma Mwiko Shem.Yangaaaaa....
umehadimika sana hapa jamviniIla nilifurahi sana Mtani nadhani ndio tumeshaanza kubadili gia angani.
Dodoma Jiji ajiandae naye.
Yule mambo yapo wala habahatishi. Kucheza ligi kuu ya ufaransa si jambo Dogo asee. Atatupa experience ya hali ya juu sana!!Ulimuona juzi mechi na Singida yule Seido ni mtu na nusu aisee.
Mana si kwa mipasi ile.
Tuombe tu kwenye VPL awe anazigawa namna ile kwani kutakuwa hapatoshi aisee.
Said Ntibatunganya?!Yule mambo yapo wala habahatishi. Kucheza ligi kuu ya ufaransa si jambo Dogo asee. Atatupa experience ya hali ya juu sana!!
YeeessssYule mambo yapo wala habahatishi. Kucheza ligi kuu ya ufaransa si jambo Dogo asee. Atatupa experience ya hali ya juu sana!!
Yaani we acha tu, mpaka inakera shem.Niambie Shemela kwema huko?
Naona tu wanavyopewa magoli ilimradi tu watukaribie. 😂😂😂
Msiacheee kuongea aliimba JideDoooh!! Kuwa mkweli bana Mtani.
Japo jana lile mbeleko la Sasi si haba aisee.
Wachezaji wa Timu ya Wananchi wanaendelea na mazoezi kwa mechi ya Jumw
Hatupewi magoli uwezo wetu ni mkubwa wewe 😁😜Niambie Shemela kwema huko?
Naona tu wanavyopewa magoli ilimradi tu watukaribie. 😂😂😂
amosi dhidi ya Dodoma
Hz ndio mechi za kimataifa za vjola fc. a.k.a wa mama wa MADELALeo MTU anapigwa 3_0
Simba kwa kubebwa dah!! Acheni hizo pambaneni kimen bwnHz ndio mechi za kimataifa za vjola fc. a.k.a wa mama wa MADELA