Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwenye hiki kikosi cha Yanga sasa naona ushindani ni Mkubwa sana hivyo mtu akitoka kidogo kwenye mstari inabidi atumie nguvu sana kurudi. Na kwa bahati mbaya huyu Saido naye ndio anaingia na si mbovu,hivyo hali itazidi kuwa taiti zaidi
Ulimuona juzi mechi na Singida yule Seido ni mtu na nusu aisee.

Mana si kwa mipasi ile.

Tuombe tu kwenye VPL awe anazigawa namna ile kwani kutakuwa hapatoshi aisee.
 
Ulimuona juzi mechi na Singida yule Seido ni mtu na nusu aisee.

Mana si kwa mipasi ile.

Tuombe tu kwenye VPL awe anazigawa namna ile kwani kutakuwa hapatoshi aisee.
Yule mambo yapo wala habahatishi. Kucheza ligi kuu ya ufaransa si jambo Dogo asee. Atatupa experience ya hali ya juu sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…