Uneducated people, mi nyan & mi MBWA ya kubwekabweka alisema yule kocha wenuHii mbugi iliyopigwa leo hata wangekua mikia wanakula saba
Karibu tena madam....Uneducated people, mi nyan & mi MBWA ya kubwekabweka alisema yule kocha wenu
Subiri muda ufike utaelewa tu Shabaaashhh π
Hapo unafurahi huku ukijua mwenye nafasi yake ya kwanza hayupo nchini. πNa msimamo ndo kama huo.
View attachment 1654467
"Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu, wapumbavu, Malofa".... Ismail Aden Rage, Mwenyekiti wa Mikia.Uneducated people, mi nyan & mi MBWA ya kubwekabweka alisema yule kocha wenu
Shemela hukushusha line up....sikuangalia game.Haya ndio matokeo yetu dhidi ya Dodoma Jiji.
View attachment 1654466
Ilikuwa namna hii shem.Shemela hukushusha line up....sikuangalia game.
Oooh. Ukishituka Ligi imeisha. πππSubiri muda ufike utaelewa tu Shabaaashhh π
Sasa nafasi hiyo kwa mechi ngapi ulizonazo?Hapo unafurahi huku ukijua mwenye nafasi yake ya kwanza hayupo nchini. π
Anaitwa Antibayotiki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ilikuwa namna hii shem.
View attachment 1654860
Imetulia sana tu.Ilikuwa namna hii shem.
View attachment 1654860
Tulivyotanguliwa vilifurika hapa jukwaani!Wataongea nini, mikia kimya, afadhali tupumzike, walituudhi Sana. ASANTE MUNGU
Dua zao ni za kuku tu hao. Hali ya hewa Imetulia sasa.Tulivyotanguliwa vilifurika hapa jukwaani!
Wanasema anatibu magonjwa yote tunayoyafahamu. πππAnaitwa Antibayotiki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa ndo hatujajua sasa kama Sarpong ataanza kusugua amuachie Antibiotic ama ataendelea kucheza kisha Second Half ndo awe anampisha kama alivyofanya jana Kocha.Imetulia sana tu.
Better awe anaanza awachoshe mabeki then antibiotiki akiingia ni ulaini tu.Hapa ndo hatujajua sasa kama Sarpong ataanza kusugua amuachie Antibiotic ama ataendelea kucheza kisha Second Half ndo awe anampisha.
Na kweli usemalo shem.Better awe anaanza awachoshe mabeki then antibiotiki akiingia ni ulaini tu.
Itasaidia pia wasimkamie kumuumiza.Na kweli usemalo shem.
Shemeji .... Mwaka huu tunautaka ubingwa kwa nguvu zote. Yeyote anayecheza chini ya kiwango hata kma tulimpokea AirPort atasugua benchi tu! Sisi tunataka matokeo bwana! Anakaa benchi Fundi haruna hakizimana fadhili niyonzima na Faridi Mussa Maliki, Zawadi Mauya fundi anakaa benchi sembuse Sarpong????????Hapa ndo hatujajua sasa kama Sarpong ataanza kusugua amuachie Antibiotic ama ataendelea kucheza kisha Second Half ndo awe anampisha kama alivyofanya jana Kocha.