Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Shemela hukushusha line up....sikuangalia game.
Ilikuwa namna hii shem.
20201220_080026.jpg
 
Hapa ndo hatujajua sasa kama Sarpong ataanza kusugua amuachie Antibiotic ama ataendelea kucheza kisha Second Half ndo awe anampisha kama alivyofanya jana Kocha.
Shemeji .... Mwaka huu tunautaka ubingwa kwa nguvu zote. Yeyote anayecheza chini ya kiwango hata kma tulimpokea AirPort atasugua benchi tu! Sisi tunataka matokeo bwana! Anakaa benchi Fundi haruna hakizimana fadhili niyonzima na Faridi Mussa Maliki, Zawadi Mauya fundi anakaa benchi sembuse Sarpong????????
 
Back
Top Bottom