Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Umeongea kweli aisee.

Mana kama jana nimeona kocha kafanya yake tayari. πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa kumuanzisha Seido na kumuweka nje Sarpong na alichokifanya Seido tumekiona.
 
Ulijua kuota bana kwani kama ulivyosema Saido alianza.

Mana tulijua kuwazuzua mbaya licha ya kocha wao kuanzisha Mataputapu aliyoyasajili dirisha dogo lakini hamna alichoambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…