Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Shemeji .... Mwaka huu tunautaka ubingwa kwa nguvu zote. Yeyote anayecheza chini ya kiwango hata kma tulimpokea AirPort atasugua benchi tu! Sisi tunataka matokeo bwana! Anakaa benchi Fundi haruna hakizimana fadhili niyonzima na Faridi Mussa Maliki, Zawadi Mauya fundi anakaa benchi sembuse Sarpong????????
Umeongea kweli aisee.

Mana kama jana nimeona kocha kafanya yake tayari. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwa kumuanzisha Seido na kumuweka nje Sarpong na alichokifanya Seido tumekiona.
 
Tena hawa Ihefu ndio wanajifanya wamefufuka kutoka katika wafu, ,wameshinda game mbili mfululizo vs Kagera na juzi vs KMC.... Hawa inabidi kuwawekea mziki wa maana, yaani Saido toka dakika ya kwanza awepo ndani. Wateseke hawa Ihefu mpaka mpunga waite mbunga
Ulijua kuota bana kwani kama ulivyosema Saido alianza.

Mana tulijua kuwazuzua mbaya licha ya kocha wao kuanzisha Mataputapu aliyoyasajili dirisha dogo lakini hamna alichoambulia.
 
Hiki kikosi ni balaa jamani. Khaaa.
20201224_064003.jpg
 
Back
Top Bottom