Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hahahaaaa!! Kikosi kilichoanza Ligi huwezi kifananisha na hiki cha sasa hata kidogo.
Nadhani umeelewa vile kwa sasa tulivyo na fyzixi + kemisitri hivyo wale ni Uwanja tu ndo umewasitiri Mtani kubali ukatae.
Sawa nimekubali, sasa hivi tutacheza mechi za kimataifa na viporo vyetu kwa amani.
Maana tukishinda viporo ndo tunarudi kwenye nafasi tuliyoizoea "ya kwanza".