Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hahahaaaa!! Kikosi kilichoanza Ligi huwezi kifananisha na hiki cha sasa hata kidogo.
Nadhani umeelewa vile kwa sasa tulivyo na fyzixi + kemisitri hivyo wale ni Uwanja tu ndo umewasitiri Mtani kubali ukatae.
Sawa Mtani ila ukumbuke tu na timu ulizobakisha nazo viporo sio za wasiwasi hivyo usijipe hundred percent kwamba utatusua.Sawa nimekubali, sasa hivi tutacheza mechi za kimataifa na viporo vyetu kwa amani.
Maana tukishinda viporo ndo tunarudi kwenye nafasi tuliyoizoea "ya kwanza".
Sawa Mtani ila ukumbuke tu na timu ulizobakisha nazo viporo sio za wasiwasi hivyo usijipe hundred percent kwamba utatusua.
Ila Mtani bana ndio sababu mkifungwa huwa mnakimbia hasa kwa namna mnavyojiamini wakati hata kucheza bado.Naona mmegundua mda wenu wa kukaa pale juu umeisha, sasa mnaanza kuondoka tararatibu.
Tusiandikie Mate.Tutashinda, sisi ndo Taifa Kubwa.
Kwani kwenda kumpokea mtu ni kihere here?Naamini kiherehere cha kwenda Airport kuwapokea Platinum sasa hivi kimewaisha.
Kwani kwenda kumpokea mtu ni kihere here?
Mechi ya Simba ilitakuwa kuchagua Penati au kadi nyekundu kwa Onyango.Kwani yanga dhidi ya kmc haikubebwa? Penati fake mlipewa. Dhidi ya gwambina mlipigwa goli halali likakataliwa, dhidi ya simba faulo nje 18 mkapewa penati. Ni kujidanganya kuwa mechi zote yanga imeshinda au kudraw kwa haki.
Ubingwa labda muibe kombe.
Kassim majaliwa na said bakheresa hawawezi kuwa vikwazo, hahaha hope you know thisIla Mtani bana ndio sababu mkifungwa huwa mnakimbia hasa kwa namna mnavyojiamini wakati hata kucheza bado.
Siku nyingine injinia awe anawaisha bahasha mapema, mambo za kutoa bahasha mda umeenda ndo matatizo yake hayaHahahaaaa!! Kikosi kilichoanza Ligi huwezi kifananisha na hiki cha sasa hata kidogo.
Nadhani umeelewa vile kwa sasa tulivyo na fyzixi + kemisitri hivyo wale ni Uwanja tu ndo umewasitiri Mtani kubali ukatae.
Kupanga ni kuchagua, kufungwa ili uchukue ubingwa au usifungwe ili uwe unbeaten na kombe usilione nila rangi gani.Kuondoka kwenda wapi, acha mbwembwe.
Duh kumbe timu inayofungwa mechi nne na anayetoa sare mechi nne, anayekuwa na alama nyingi zaidi ya mwenzie ni yule aliyefungwa eeh? Nilikuwa silijui hili.Kupanga ni kuchagua, kufungwa ili uchukue ubingwa au usifungwe ili uwe unbeaten na kombe usilione nila rangi gani.
Ndoto ya mchana kama mnavyoota kuitoa Platinum!Kupanga ni kuchagua, kufungwa ili uchukue ubingwa au usifungwe ili uwe unbeaten na kombe usilione nila rangi gani.
sisi tutampasua huyo kwa niaba yenu ili mwakani tuwapatie kiti maalum kimmoja tena ili na nyie mpate kupanda ndege.Ndoto ya mchana kama mnavyoota kuitoa Platinium
Wewe endelea na ndoto yako, ukiona haijatimia urudi ukalale.sisi tutampasua huyo kwa niaba yenu ili mwakani tuwapatie kiti maalum kimmoja tena ili na nyie mpate kupanda ndege.
Hahahaaa. Hivyo kwa uwezo wako halisi huwawezi. πππKassim majaliwa na said bakheresa hawawezi kuwa vikwazo, hahaha hope you know this
Kwa nini iwe kadi nyekundu si njano? dadavuaMechi ya Simba ilitakuwa kuchagua Penati au kadi nyekundu kwa Onyango.
Huyu ni mkweli kabisa na ni mpenzi wa Mungu, kwani uwezo wa timu anaujua na usishangae kukiri kwake kwamba Majaliwa (Namungo) na mzee Bakhresa(Azam) hawawezi kuwabania na Ana uhakika na hizo point. Wala hiyo sisi haitusumbui kichwa, tutapambana uwanjani kuhakikisha jambo letu la msimi huu linatimia. Nyie endeleeni kutembelea mbeleko ya Majaliwa, Bakhresa, waamuzi na tfu tfu.Hahahaaa. Hivyo kwa uwezo wako halisi huwawezi. πππ
Haya subiri huruma toka kwao walau upate hizo points sita.
Hakika Mkuu sisi wacha tuzidi kupambana Uwanjani. Naimani jambo letu litatimia.Huyu ni mkweli kabisa na ni mpenzi wa Mungu, kwani uwezo wa timu anaujua na usishangae kukiri kwake kwamba Majaliwa (Namungo) na mzee Bakhresa(Azam) hawawezi kuwabania na Ana uhakika na hizo point. Wala hiyo sisi haitusumbui kichwa, tutapambana uwanjani kuhakikisha jambo letu la msimi huu linatimia. Nyie endeleeni kutembelea mbeleko ya Majaliwa, Bakhresa, waamuzi na tfu tfu.
Huyu mkataba wake kdg Nkana wameweka ngumu ila jamaa MTU haswanlikuwa busy leo nkaona nipitie tetesi za usajili bongo nkaona jina la Mbombo kwenye gazeti la mwananchi, kama kweli ameridhia kuja Yanga lile ndiyo bull striker la ukweli sasa!
Ni mchezaji ambaye hata kama anataka $15,000 kama ipo apewe, yule ni asset, ni kati ya wachezaji talented sana Zambia, na scouts wanawatupia macho, ni kama yule Dube wa Azam.