Na ziliachwa makusudi kuja kutoa mbeleko.Huyu ni mkweli kabisa na ni mpenzi wa Mungu, kwani uwezo wa timu anaujua na usishangae kukiri kwake kwamba Majaliwa (Namungo) na mzee Bakhresa(Azam) hawawezi kuwabania na Ana uhakika na hizo point. Wala hiyo sisi haitusumbui kichwa, tutapambana uwanjani kuhakikisha jambo letu la msimi huu linatimia. Nyie endeleeni kutembelea mbeleko ya Majaliwa, Bakhresa, waamuzi na tfu tfu.
Bila kurudisha timu yote nyuma walikuwa hawatoki wale wababe Wa SimbaHakika. Na huwa inanifurahisha vile namna tunajua kulitafuta goli yaani tulipambania mpaka tukakomboa wakati wangekuwa wao ndo ingeshatoka pale.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Hawa wanajua marefa wapo, si unaona refa alivyofanya dhidi yao na KMC baada ya kugundua mambo yashakuwa mazito?Sawa Mtani ila ukumbuke tu na timu ulizobakisha nazo viporo sio za wasiwasi hivyo usijipe hundred percent kwamba utatusua.
Huyo jamaa anatajwa sana ila sina imani kama tunaweza kumpata[emoji1] kwanza gharama tu ya kimnunua lazima iwe balaa, badosalarynlikuwa busy leo nkaona nipitie tetesi za usajili bongo nkaona jina la Mbombo kwenye gazeti la mwananchi, kama kweli ameridhia kuja Yanga lile ndiyo bull striker la ukweli sasa!
Ni mchezaji ambaye hata kama anataka $15,000 kama ipo apewe, yule ni asset, ni kati ya wachezaji talented sana Zambia, na scouts wanawatupia macho, ni kama yule Dube wa Azam.
Na kweli usemalo shem mana usishangae siku wanacheza nao wakatepeteshwa mapema tu.Na ziliachwa makusudi kuja kutoa mbeleko.
Na iko ndo kiliwasaidia pia waishukuru Mvua mana nayo ilijua kuutotesha uwanja kwani pasi zetu nyingi hazikuwa zinafika kama tulivyotarajia.Bila kurudisha timu yote nyuma walikuwa hawatoki wale wababe Wa Simba
Hapo ni mvua tu wangekaa zile zile 3, maana tunao wataalam wa viwanja vibovu.Na iko ndo kiliwasaidia pia waishukuru Mvua mana nayo ilijua kuutotesha uwanja kwani pasi zetu nyingi hazikuwa zinafika kama tulivyotarajia.
Ile ya mwanza Yanga vs KMC ilkuwaje?. Vp Gwambina Vs Yanga? Prisons vs Yanga? Yanga vs simba? NDIO UJUE MBEREKO FC WA HAPA BONGOHawa wanajua marefa wapo, si unaona refa alivyofanya dhidi yao na KMC baada ya kugundua mambo yashakuwa mazito?
Mtaishia ku sema tuu. Last season had first round inaisha Yanga haijafungwa DADADEK nini kilitokea. Mabigwa ni wale wale. Simba. Nyie yenu maneno na vjora na madelaNa iko ndo kiliwasaidia pia waishukuru Mvua mana nayo ilijua kuutotesha uwanja kwani pasi zetu nyingi hazikuwa zinafika kama tulivyotarajia.
Hakika shem.Hapo ni mvua tu wangekaa zile zile 3, maana tunao wataalam wa viwanja vibovu.
Kwani hio mvua imewaadhir nyie tu. Ongea ki soccer labda uwe mtu wa REDE[emoji3][emoji3][emoji3]
Gazet la ke, aliyeandika ke, aliyelipost ke. Mhhhh woote mambo ya football yako mbali nao. WANAJIFANYISHA TUUKwani kuna anayeteseka. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1667638
Wale ndo kiwanja chao cha majaruba ya mpunga wazoefu.Kwani hio mvua imewaadhir nyie tu. Ongea ki soccer labda uwe mtu wa REDE
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app