Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Haya na nyie mi nyan fc, vjora na midela yenu wekeni recods zenu kaz kubwekabweka tuu
Hao walifungwa goli 19 katika mechi 6, wakashika mkia kwenye kundi lao mwaka huo. Simba mwaka juzi alifungwa jumla ya magoli 13 katika mechi hizo hizo 6, akashika nafasi ya pili kundini na akasonga mbele hadi robo fainali. Hivi wanadhani ni mchezo hadi CAF kuiweka Simba ndani ya vilabu 20 bora Africa!
 
Shida ya mijitu ya Yanga huwa INAJISAHAULISHA makusudi. Inashida hii

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Vp last season? Twambie timu gan haikufungwa first round? Hii ndio tabia yenu. WAKIRUME WANAWAKE. MWARI WANAPEWA WAKIRUME WANAUME (simba)

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Pole ila msimu huu kwisha habari yako Ni kipigo tu kwenda mbele umeshanyonyolewa manyoya bado kutolewa utumbo.Kifuatacho ni kipigo cha kutolewa utumbo
 
Msimu huu Yanga hapotezi mechi hata moja,kwa raundi ya pili Simba lazima apigike.Stay tuned Ubingwa unakwenda jangwani msimu huu
Umeandika kishabiki ili ujifurahishe. Ila jua kuwa Matokeo ya mpira pia uambatana na bahati, mfano mechi ya yanga vs namungo , yanga ilikwepa kipigo sababu ya bahati tu na si vinginevyo. Sasa una uhakika gani daima bahati itakuwa upande wa yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…