KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Haya na nyie mi nyan fc, vjora na midela yenu wekeni recods zenu kaz kubwekabweka tuu
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya na nyie mi nyan fc, vjora na midela yenu wekeni recods zenu kaz kubwekabweka tuu
Yule kocha wenu aliwaita uneducated na NYANI. Credit kwakeTano tano tu Ukitoka nje ya nchi.Ni kipigo kwenda mbele.Hiyo kesho kutwa mnapigwa hapahapa bila chenga.Simba hovyo kabisa
Hahahaaa. Lol.Huwa sikimbii kamwe, labda niwe site kijijini kwenye ujenzi wa taifa
Hao walifungwa goli 19 katika mechi 6, wakashika mkia kwenye kundi lao mwaka huo. Simba mwaka juzi alifungwa jumla ya magoli 13 katika mechi hizo hizo 6, akashika nafasi ya pili kundini na akasonga mbele hadi robo fainali. Hivi wanadhani ni mchezo hadi CAF kuiweka Simba ndani ya vilabu 20 bora Africa!Haya na nyie mi nyan fc, vjora na midela yenu wekeni recods zenu kaz kubwekabweka tuu
I like your way of conversation. Ulikuwapo huko utopoloni kwa bahati mbaya nadhani!Hahahaaa. Lol.
Haya bana Mtani.
Shida ya mijitu ya Yanga huwa INAJISAHAULISHA makusudi. Inashida hiiHao walifungwa goli 19 katika mechi 6, wakashika mkia kwenye kundi lao mwaka huo. Simba mwaka juzi alifungwa jumla ya magoli 13 katika mechi hizo hizo 6, akashika nafasi ya pili kundini na akasonga mbele hadi robo fainali. Hivi wanadhani ni mchezo hadi CAF kuiweka Simba ndani ya vilabu 20 bora Africa!
Mzunguko wa kwanza Yanga hajafungwa mechi hata moja,Simba kanyonyolewa kama kuku na bado atanyofolewa mpaka utumboKtimu chenu cha hovyo. Yaan vmechi vchache mmeshinda kwa vigoli kadhaa bas SHIDA. Simba imeshinda hadi wiki hzo tatu nne ndio kbao WAJINGA KWEL NYIE
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Vp last season? Twambie timu gan haikufungwa first round? Hii ndio tabia yenu. WAKIRUME WANAWAKE. MWARI WANAPEWA WAKIRUME WANAUME (simba)Mzunguko wa kwanza Yanga hajafungwa mechi hata moja,Simba kanyonyolewa kama kuku na bado atanyofolewa mpaka utumbo
Ni kipigo tu hata ukinuna na kutukana ni kipigo tu inaonekana unapata tabu sana kwa kuwa huwa unabeti
Pole ila msimu huu kwisha habari yako Ni kipigo tu kwenda mbele umeshanyonyolewa manyoya bado kutolewa utumbo.Kifuatacho ni kipigo cha kutolewa utumboVp last season? Twambie timu gan haikufungwa first round? Hii ndio tabia yenu. WAKIRUME WANAWAKE. MWARI WANAPEWA WAKIRUME WANAUME (simba)
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Ninyi mkipigwa hizo 5 si mtawavua kabisa nguo wachezaji pinzani kwa kuamini ni uchawi mpaka wamepata magoli 5!Kufungwa tano tano kila mechi Kama wewe
Umeandika kishabiki ili ujifurahishe. Ila jua kuwa Matokeo ya mpira pia uambatana na bahati, mfano mechi ya yanga vs namungo , yanga ilikwepa kipigo sababu ya bahati tu na si vinginevyo. Sasa una uhakika gani daima bahati itakuwa upande wa yanga?Msimu huu Yanga hapotezi mechi hata moja,kwa raundi ya pili Simba lazima apigike.Stay tuned Ubingwa unakwenda jangwani msimu huu
Zile kabla ya mchezo mlimuhonga Morrison dola elfu 5!? Au hukuwahi msikia Morrison mwenyewe akisema??
Yaani kuandika tu hapa unatokwa jasho hivyo!?Haya na nyie mi nyan fc, vjora na midela yenu wekeni recods zenu kaz kubwekabweka tuu
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha yaani hadi unatia huruma unavyotokwa jasho!Shida ya mijitu ya Yanga huwa INAJISAHAULISHA makusudi. Inashida hii
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
KUCH KUCHKwani kuna anayeteseka. 😂😂😂View attachment 1667638
🙏🙏🙏I like your way of conversation.
😀Ulikuwapo huko utopoloni kwa bahati mbaya nadhani!
Hahahaaaa. Umefanya nimecheka kwa nguvu Bro.Yaani kuandika tu hapa unatokwa jasho hivyo!?
😂😂😂😂Ha ha ha yaani hadi unatia huruma unavyotokwa jasho!