Na ameteseka hasaa mana alivyoniquote ikabidi nilog out kisha nikacheke kwanza. πππKUCH KUCH
Huyu ndo akiwa kwenye maofisi yenye ushabiki hasa anapigana na kupigana. πππYaani kuandika tu hapa unatokwa jasho hivyo!?
Inaonyesha kabla haja quote huwa anavua shati kwanza, mana Ku quote tu kwake ni vita!Huyu ndo akiwa kwenye maofisi yenye ushabiki hasa anapigana na kupigana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mana hapa tuko anonymous tu anatamani hata kurusha ngumi. Teh teh.
Wenyewe wanakwambia keshaenda kwao kwa sababu anaidai Yanga hela kibao tu[emoji1]
ππInaonyesha kabla haja quote huwa anavua shati kwanza, mana Ku quote tu kwake ni vita!
Duuh!! Kaenda lini mana hapo ilikuwa jana Zanzibar?Wenyewe wanakwambia keshaenda kwao kwa sababu anaidai Yanga hela kibao tu[emoji1]
Utawaweza hawa? Wakijihisi kuumia sehemu tu wanatafuta cha kuwapa faraja kwa nguvuDuuh!! Kaenda lini mana hapo ilikuwa jana Zanzibar?
Saa hizi sijui wanajisikiaje kuona jamaa yupo kwenye kikosi. πππUtawaweza hawa? Wakijihisi kuumia sehemu tu wanatafuta cha kuwapa faraja kwa nguvu