Hapana mkuu mimi ni shabiki wa hirizi fc a.k.a deportivo la utopolo[emoji23][emoji23][emoji23] humo humo Yani ila wewe ni shabiki wa NYAU SC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu mimi ni shabiki wa hirizi fc a.k.a deportivo la utopolo[emoji23][emoji23][emoji23] humo humo Yani ila wewe ni shabiki wa NYAU SC
We shoga vipi?Yanga baba lao chura baba lao jangwani chama laoView attachment 1676185
Huna lolote zaidi ya maneno ya mkosaji.Kombe la mbuzi na debe la mchele na katoni ya sayona
Full time 0-0,penalty shoot out ni kama kamari tu!Shot on target 0 dah mikia paka havuki bahari
Aliskika onyangoFull time 0-0,penalty shoot out ni kama kamari tu!
Man of the match na kalamba milion 1 chap chap!Aliskika onyango
Na penalty alikosa ..!Man of the match na kalamba milion 1 chap chap!
Ndio hivyo shughuli ya Dk 90 imempa mchezaji bora wa mchezo!Na penalty alikosa ..!
Paka Leo hajaja eeh?
Leo ndiyo unalijua Hilo, timu lenu bila Chama hakuna kitu.Ndio hivyo shughuli ya Dk 90 imempa mchezaji bora wa mchezo!
Penalty ni kama kamari tu,hadi kina Messi ,Ronaldo wanakosa penalty!