Ni dalili kuwa Morrison amekukeraaHuna akili wewe, una kamasi kama la lopolopo wenu Manara na sasa Mrs Jonas.
Anafaa kabisa 27 years.Huyu kocha Wa viungo bado Mdogo kama vipi msimu ujao tumsajili kama mchezaji tu. Mana nimeangalia clips zake anaonesha ni kiungo Wa kati matata tu tena anatumia miguu yote na ni mwepesi sana ha ha ha
😂😂Huna akili wewe, una kamasi kama la lopolopo wenu Manara na sasa Mrs Jonas.
Kabisa ShemVijana watupu.
Nilisoma sehemu walisema anaendelea na matibabu hapa Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji kule South.Hivi Balama vp jamani?
AmeachwaHivi Balama vp jamani?
Hapana,anarud juzi walipost ameshapona na anaweza kuendeelea kuchezaAmeachwa
Kwa hilo busha lake, mwambie mwisho wake mbaya. Mchekeeni tu maana akili zenu zinafanana na zake.Ni dalili kuwa Morrison amekukeraa
Hizi jezi za Yanga nzuri sana. Unaweza ukatamani hiyo alovaa huyu mpambanaji ndiyo iwe jezi yetu ya mashindano piaKaribu kwa Wananchi Fiston Abdurazak.
View attachment 1689974
Snitch wewe club ndiyo imempa hivyo na alisema atajitahidi apambane ili miezi sita ikiisha azingatiwe kuongezezewa mkatabaMiezi sita tu, amekataa zaidi ya hiyo
Kuna Watu wakiona jamaa yupo na Senzo wanaanza kutema tema mate chini Mara kwa Mara!
Alienda South Afrika kafanyiwa uoasuaji amesharudi ambapo madaktari walisema atachukua wiki tano hivi kabla ya kuanza mazoezi mepesi. Na hadi sasa ana wiki mbili au na nusu hivi tangu arudiHivi Balama vp jamani?