kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Haswaa!Sijajua kuhusu miaka miwili iliyopita lakini kama Kuna mtu aliangalia game za Burundi afcon hawezi kuwa na shaka na uwezo wa Fiston.Hata nashangaa ambaye anadhani kuwa kwake mburundi ndo kumemfanya asajiliwe Yanga,Mimi naamini atafanya mazuri kwenye timu.