Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bado hujaacha dharau zako mtani? Jitahidi uwe na neno la akiba bt Ngoja tusubiri tuone muda utasema

Neno la akiba kwenye ushabiki ili iweje?

Kwenye ushabiki tunatamba, tunaweka kuitishia hata Barcelona kwamba tutaifunga.
 
Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa

7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.

Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
 
GSM yashusha jembe jipya Jangwani ni Striker hatari kutoka Zamelek.
20210116_015437.jpeg
 
What is so fun

Morrison siku hizi hatajwi tena [emoji23], na chukwende ni suala la muda tu

By the way, Chikwende wenzake si wapo CHAN kule Cameron [emoji849]
Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa

7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.

Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
 
Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa

7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.

Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
Wewe ni TAHIRA DAMU sio Yanga damu. Yanga hatujawahi kuwa Mbumbumbu
 
Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa

7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.

Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
Mkuu mnachekesha sana,kipindi Morrison kaja Simba mlikwa mnapanga kikosi mtandaoni,utasikia huku Morrison huku Chama huku konde boy,nao mumeanza tena.
 
Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa

7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.

Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
We unachekesha kweli ivi unaichukuliaje Yanga saiv?
 
Jamani mwenye ile clip ya Mzee mmoja Wa kizanzibari aliyeongea siku ya kuelekea kilele cha siku ya mwananchi. Moja ya maneno yake alisema " kama kuna mtu anadhani anaweza kuivuruga yanga basi anajidanganya. Na kama yupo huyo mtu hamtomsikia tenaaa!" Na akasema ametumwa na wazee Wa Zanzibar aje ayaseme hayo.
 
Achana na MATAHIRA haya! Umesahau yameimba Sana Chamason, mikisoni, morisoni, Boccosoni ... Imeishia wapi??? Mbwa hawa
Imeishia kufuzu makundi CAF champions league. Hapo vipi? Aaaah unakerekaa shabiki maandazi mpaka unatukana.
 
FISTON ABDOUL RAZAK : KHERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI . Haikua bahati tu , bali ni neema ya siku ya jumapili ya tarehe 5 ya September 1993
 
Back
Top Bottom