Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
TandahimbaSarpong bwana, hivi Yanga mlimtoa wapi huyu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TandahimbaSarpong bwana, hivi Yanga mlimtoa wapi huyu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila anachoniuzi ana game na game zinazomtokea.Anamzidi Ykipe kwenye kukaba na kupocess mpira.
No shot on goal. 😅😅😅Ss mtatokaje na mpira ule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili likitokea naenda kukojoa kwenye kaunta ya kituo kikuu cha Polisi hapa SHY! 😀😀Hiyo ndo timu tutayopiga home and away, AS Vita draw kwao kwetu tunawanyoosha.
Al Ahly mpira ni mpaka uishe, sina matokeo mfukoni.
Hili likitokea naenda kukojoa kwenye kaunta ya kituo kikuu cha Polisi hapa SHY! 😀😀
Tena wamepeleka full mkoko.Daima Mbele Nyuma Mwiko Shem.
Wamebakia kulidharau kombe tu huku walipeleka timu. 😅
😅😅Tena wamepeleka full mkoko.
Nani wa kuwaokotesha? Dakika 90 no shoot on target hata moja? AibuuuuuHahaha, tutaokota na wao wataokota.
Nani wa kuwaokotesha? Dakika 90 no shoot on target hata moja? Aibuuuuu
Unacheka tu,
Umeumbuka Zanzibar,nilikwambia wewe Ni mbishi na una kiherehere Kama mwanamke wa kizaramo sasa umepigwa kwisha habari yakoBilashaka ww ni janamke la kimakonde
Unatakiwa utafakari na kujiuliza nini sababu ya Onyango kuwa Mchezaji bora wa mechi ndiyo utajua kilichokuwa kinawakuta SimbaMan of the match na kalamba milion 1 chap chap!
Huyo mfungaji bora si angeifunga yanga? Kuthibitisha ubora wakeOkay, endelea, mchezaji bora wa mechi ya fainali, mchezaji bora wa mashindano, na mfungaji bora wa mashindano
Mnatakiwa mjiulize sababu ya Onyango kupewa uçhezaji Bora,Alafu huyo mfungaji bora kwa Nini hakumfunga Yanga na kahata ubora wake siku ya mechi ya Yanga ilikuwa wapi?Man of the Match (Onyango- Simba
Golikipa bora (SHIKALO- Yanga
Mfungaji bora (Miraji Sheva- Simba
Mchezaji bora (Kahata- Simba
Bado hujaacha dharau zako mtani? Jitahidi uwe na neno la akiba bt Ngoja tusubiri tuone muda utasemaHiyo ndo timu tutayopiga home and away, AS Vita draw kwao kwetu tunawanyoosha.
Al Ahly mpira ni mpaka uishe, sina matokeo mfukoni.
Wachambuzi walisema kama Sio Onyango basi ingekuwa Ninja!Hii inamaanisha wote walikuwa kwenye ubora kulingana na washambuliaji kuwa hatari!Unatakiwa utafakari na kujiuliza nini sababu ya Onyango kuwa Mchezaji bora wa mechi ndiyo utajua kilichokuwa kinawakuta Simba