Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Simba bila nyau mweusi uwanjani, ni sawa Ihefu B

Yanga bingwa

Kombe la kwanza kabatini, makombe 2 yaliyobaki loading...
 
Anamzidi Ykipe kwenye kukaba na kupocess mpira.
Ila anachoniuzi ana game na game zinazomtokea.

Yaani kuna game waeza sema ehee hapa tuna mchezaji ila game zingine bana waeza kasirika namna anavyocheza.
 
Hehehehe
IMG_20210114_140041_292.jpg
 
Nani wa kuwaokotesha? Dakika 90 no shoot on target hata moja? Aibuuuuu

Tuombeane uzima ndugu, mtabadili timu mpaka mchoke.

Naamini mmeweka ratiba vizuri ya kwenda kwenda airport kupokea na kusindikiza wageni
 
Man of the Match (Onyango- Simba

Golikipa bora (SHIKALO- Yanga

Mfungaji bora (Miraji Sheva- Simba

Mchezaji bora (Kahata- Simba
Mnatakiwa mjiulize sababu ya Onyango kupewa uçhezaji Bora,Alafu huyo mfungaji bora kwa Nini hakumfunga Yanga na kahata ubora wake siku ya mechi ya Yanga ilikuwa wapi?
 
Unatakiwa utafakari na kujiuliza nini sababu ya Onyango kuwa Mchezaji bora wa mechi ndiyo utajua kilichokuwa kinawakuta Simba
Wachambuzi walisema kama Sio Onyango basi ingekuwa Ninja!Hii inamaanisha wote walikuwa kwenye ubora kulingana na washambuliaji kuwa hatari!
 
Back
Top Bottom