Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga ndio timu kubwa na yenye mvuto kuliko timu yoyote hapa nchini, na kwa ukubwa Wa hii taasisi ikishushiwa rungu basi haipo taasisi itabaki hapa ardhini kwetu! Labda kangekuwa ka simba hako watu wanakashushia tu mirungu na hakuna atayestuka!
Timu kubwa inaomba kwa mwalimu mkuu pa kufanyia mazoezi?
 
Kuna viongozi wanajua kudanganya mashabiki wao FREDRICK MWAKALEBELA Ni namba 1..............Eti oooh kama hajafungiwa wamchezeshe basi tuone na Mashabiki wao walivyo na akili za Matope watakubali.

Haya sasa kacheza na Goli kafunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…