Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210212_162811.jpg
 
Eti nyie vibopa mnataka kuaminisha watu kwamba wote humu hamjalipia kin'gamuzi cha azam?
 
Kule kongo kuna mengi yaliojiri leo yakuzungumia ukiachana na ushindi wa simba tunaweza tukamzungumzia shishimbi pia. Hili mnalionaje waungwana?

Msiudhurumu nafsi kwa kujifanya hamuipendi simba
 
Hii tabia ya watu wote kulala muda huu mmeanza lini?

Nani kawaharibu maana huko nyuma hamkua hivyo?

halafu ile ni VISIT TANZANIA sio VITZ TANZANIA
 
Walichokichanganya As vita ni zile jezi kama za yanga nachezaji tshiahimbi, basis mnyama akajua ni yanga kabisa😂😂😂
Hv biashara ya Tshiahimbi kwenda As vita yanga mlilamba 💵💵 ngapi ( serious question)
 
Back
Top Bottom