Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Kweli? Nan kafunga?Tumepata bao eti. Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli? Nan kafunga?Tumepata bao eti. Lol
Yani kuna dak katika michezo ya Yanga, mashabiki tunaishi kama Mashabiki wa liverpool 🤣🤣🤣Kafunga Kaseke.
Dkk ya 87 sasa.
Sijui kwa nini kocha huwa hamuamini?Dah, thanks kaseke
Acha kabisa. Mie nilishajikatia tamaa.Yani kuna dak katika michezo ya Yanga, mashabiki tunaishi kama Mashabiki wa liverpool 🤣🤣🤣
Fiston asuburi Saido au Yacouba waponeSijui kwa nini kocha huwa hamuamini?
Mana huyo Fiston hamna alichokuwa anafanya.
Wale ndio zao kukaza.Hivi Mbeya City ubishi wote ule tatizo nini?
Mie nmetoka kibanda umiza saiz nipo njiani narud geto earphone masikioni ndo nikaingia jf😆😆, yani nimeshakata tamaa kitamboAcha kabisa. Mie nilishajikatia tamaa nikijua tumeambulia sare.
Kwa kweli. Mana mie mpaka sasa sijamuelewa.Fiston asuburi Saido au Yacouba wapone
Wamepata penalti Mbeya City huko. 🙁🙁🙁Mie nmetoka kibanda umiza saiz nipo njiani narud geto earphone masikioni ndo nikaingia jf😆😆, yani nimeshakata tamaa kitambo
Yaleyaleeee🤣YYaalleeyyaallealyaeylealWamepata penalti Mbeya City huko. 🙁🙁🙁
😂😂😂😂 ndo mpira.Yaleyaleeee🤣
Kwasababu hakuna club inaubeba sio ? Kama ipo basi kinawezekana , pale Kinshasa kushinda si utaniMtani kwani hukumsikia yule roporopo wenu alisema kama una haya mawazo basi jifunike shuka ulale gubigubi kwani ni kitu ambacho hakiwezekani. [emoji28]