Leo ndio siku ya kujihakikishia ubingwa pale Mkwakwani.............
Mkuu Gang Chombahttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=9591 vp sherehe pale Jangwani zinaendelea?
Jamani tumekaribia kurejea kwenye nafasi yetu.......
Kama kawaida mkuu
mwendo mdundo.
Simba ana point 3 zetu, tarehe 20/10/2013 atazitema tu.
Hili wanalijua wazi,hakuna cha Tambwe wala nini,muhimu tukazichukue zile za Kagera Sugar......