Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo ndio siku ya kujihakikishia ubingwa pale Mkwakwani.............
 
Hili wanalijua wazi,hakuna cha Tambwe wala nini,muhimu tukazichukue zile za Kagera Sugar......

Kaitaba ni uwanja mgumu sana kwa timu yetu, wale dogo ni wagumu sana kufungika pale. Tunahitaji pointi 3 muhimu, iwe - isiwe inabidi wafungwe. Tukirejea Taifa, tutajipigia kiulaini yule Mnyama.
 
Back
Top Bottom