Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kuna viongozi wanajua kudanganya mashabiki wao FREDRICK MWAKALEBELA Ni namba 1..............Eti oooh kama hajafungiwa wamchezeshe basi tuone na Mashabiki wao walivyo na akili za Matope watakubali.

Haya sasa kacheza na Goli kafunga
Kwani kasema mumchezeshe Mashindano gani Mtani? 😎 Tuanzie hapa kwanza mana hamkawii kumlisha maneno.

#Audio itapendeza zaidi.
 
Visit kidimbwi , ile kitu imeshatolewa sasa ni kutereza tu[emoji4]
 
Utopolo a.k.a vidimbwi fc hamna timu.
Hongera sana kwake Simba kwa kufanya usajili wa nguvu ,kikosi imara na kipana ,Simba inaweza kucheza mechi mbili kwa wakati mmoja.Msimu huu Tayari kabatini tumeweka kikombe kimoja Cha Simba Super Cup bado tunasubiri vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…