Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Unajua ni hivi

Yanga inacheza mpira wa miaka ya 80 ,Wachezaji wenu wanaruka ruka tu ,Timu bado inaushamba wa makalio ya 90 ya kupigana na waamuzi,Mashabiki wenu ndio kabisa hawajielewi Goli 1 wanakimbilia mpaka kukumbatiana na wachezaji yani ni Vurugu tupu.

YANGA BADO SANAAAAAA.
 
Unaongea kama nyinyi mmeshinda match zote mpaka sasa
 
Unajua ni hivi

Yanga inacheza mpira wa miaka ya 80 ,Wachezaji wenu wanaruka ruka tu ,Timu bado inaushamba wa makalio ya 90 ya kupigana na waamuzi,Mashabiki wenu ndio kabisa hawajielewi Goli 1 wanakimbilia mpaka kukumbatiana na wachezaji yani ni Vurugu tupu.

YANGA BADO SANAAAAAA.
Dooh!!
 
Hii ni laana ya kumuacha molinga kwa kumnyanyasa huku katufungia magoli kibao, yanga hatuna mshambuliji hata mmoja leo hii.. anaejua kujiposition kama molinga
Uko sahihi Molinga alikuwa forward bora kwa Yanga siasa walizonazo huko na mawakala ndio shida tunayopata leo
 
Kiukweli wananchi nguvu mliyoitumia Jana kuiwaza AS VITA kumewafanya muamke mkiwa mmechoka
 
Pole mtani lakini nafasi uliyopo siyo rafiki kuchukua VPL nakukumbusha tu ili usije ukaenda CAF kulalamika kuwa simba sc inapendelewa
Kwan simba mna guarantee ya kushinda game zenu zote mkuu? Kumbuka ligi Ina team 18 na ni team 4 zinashuka.. Huu mzunguko wa pili ni afadhali ukutane na Azam, Namungo, Biashara etc kuliko kukutana na ihefu
 
Kupanga ni kuchagua. kama ww hauna mipango ya muda mrefu unategemea nini mkuu ?
 
WAKATI MWINGINE INASIKITISHA SANA

Ditram nchimbi alisajiliwa baada ya kuifunga yanga goli 3 katika mechi moja msimu wa 2019/2020 alimaliza msimu na goli 6 tu

Mara ya mwisho mshambuliaji huyu kuifungia timu yake katika ligi n February mwaka Jana

Maana yake ana mwaka mmoja hajawah funga goli katika ligi lakn ndyo mshambuliaji tegemeo wa wa yanga ana miez 12 hajafumania nyavu
 
Back
Top Bottom