πππKwenye hii match fiston na kocha wake wameuza kabisa
Si huyu kocha ndiyo yule aliekuwa barcelona bhandugu ama siyo yeyeUmeona Mkuu. Kocha inapaswa ajitafakari kwa kweli.
Mpe mwiko wake sasa hivi hawa jamaa wana msongo "soso"Oooh!! Amusori Ntani. πππ
Unaongea kama nyinyi mmeshinda match zote mpaka sasaUnajua ni hivi
Yanga inacheza mpira wa miaka ya 80 ,Wachezaji wenu wanaruka ruka tu ,Timu bado inaushamba wa makalio ya 90 ya kupigana na waamuzi,Mashabiki wenu ndio kabisa hawajielewi Goli 1 wanakimbilia mpaka kukumbatiana na wachezaji yani ni Vurugu tupu.
YANGA BADO SANAAAAAA.
Dooh!!Unajua ni hivi
Yanga inacheza mpira wa miaka ya 80 ,Wachezaji wenu wanaruka ruka tu ,Timu bado inaushamba wa makalio ya 90 ya kupigana na waamuzi,Mashabiki wenu ndio kabisa hawajielewi Goli 1 wanakimbilia mpaka kukumbatiana na wachezaji yani ni Vurugu tupu.
YANGA BADO SANAAAAAA.
Uko sahihi Molinga alikuwa forward bora kwa Yanga siasa walizonazo huko na mawakala ndio shida tunayopata leoHii ni laana ya kumuacha molinga kwa kumnyanyasa huku katufungia magoli kibao, yanga hatuna mshambuliji hata mmoja leo hii.. anaejua kujiposition kama molinga
Pole mtani lakini nafasi uliyopo siyo rafiki kuchukua VPL nakukumbusha tu ili usije ukaenda CAF kulalamika kuwa simba sc inapendelewaUnaongea kama nyinyi mmeshinda match zote mpaka sasa
He he he heKiukweli wananchi nguvu mliyoitumia Jana kuiwaza AS VITA kumewafanya muamke mkiwa mmechoka
Fiston ni molinga mwembamba aliyechangamka Mkuu, kwani Ulikuwa hulijui hili mkuu?Kwenye hii match fiston na kocha wake wameuza kabisa
Nilikuwa nimeshatoka kwa hasira nje ya banda umiza baada ya mwaisa kutia nyavuni, ghafla nisirudi mbio mbioHe he he he
Kwan simba mna guarantee ya kushinda game zenu zote mkuu? Kumbuka ligi Ina team 18 na ni team 4 zinashuka.. Huu mzunguko wa pili ni afadhali ukutane na Azam, Namungo, Biashara etc kuliko kukutana na ihefuPole mtani lakini nafasi uliyopo siyo rafiki kuchukua VPL nakukumbusha tu ili usije ukaenda CAF kulalamika kuwa simba sc inapendelewa
Kama nakuona ulivyoshangilia. TehNilikuwa nimeshatoka kwa hasira nje ya banda umiza baada ya mwaisa kutia nyavuni, ghafla nisirudi mbio mbio
Kupanga ni kuchagua. kama ww hauna mipango ya muda mrefu unategemea nini mkuu ?Kwan simba mna guarantee ya kushinda game zenu zote mkuu? Kumbuka ligi Ina team 18 na ni team 4 zinashuka.. Huu mzunguko wa pili ni afadhali ukutane na Azam, Namungo, Biashara etc kuliko kukutana na ihefu