Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sasa ndiyo uongee kwa hasira? Haki ya Mungu mwaka huu Maji utaita mma.
 
Kauli za Utopolo:

1) Simba hawana akili
2) Simba wajinga
3) Simba mbumbumbu
4) Simba hawajielewi
5) Simba hamna kitu ni maneno tu
6) Simba wabovu
7) Simba wanasajili kwa kukurupuka
8) ....... Na blah blah nyingiiiiiiii...

Jambo la kushangaza:
- Utopolo wanaojiona wanaakili wanashindwa kuwa wabunifu hata kwa Vitu vidogo wanaishia kuwaiga Simba! Eti wameanzisha "SIKU YA WANANCHI" kuna Uto mmoja eti anasema ya kwenu ni "Simba Day" wakati ya Uto ni "Siku ya Wananchi" alaaaaa! Hivi anajua kuwa 'Simba Day' kwa kiswahili ni "Siku ya Simba"? Then mukakopi kutoka "Siku ya Simba" mpaka "Siku ya Wananchi".

Hii Timu ina Watu wanajiona wana akili lakini cha ajabu kila siku wanarudi nyuma wakati Simba tunakwenda mbele.
 
Unapaswa ujue kwamba , katika misimuu hii minne , huu ni msimu ambao simba kawa mbovu , muda huu anakuaga mbali tu , at the same time Yanga ndio msimu wake bora huu , pamoja na kua msimu wenu bora ila kinacho iweka Yanga kileleni ni idadi ya mechi tu

Sisi tunaamn ubingwa n wetu kwasababu tunajua muda wowote tunarud kwenye ubora wetu , kitu ambacho hata mcheze uchi hamuwez kutusogelea , nyinyi mnatumia juhudi na sio uwezo , wakati sisi ni uwezo

Simba anaweza teleza akarud akakukamata , vipi wewe ukiteleza ? Unaweza rud kumkamata simba ?? As it sand ubingwa uko kwa simba , mpaka yatokee mabadiliko mengine
 
aaaaaah eti baba yanga! Baba hana hata pa kufanyia mazoezi? Baba Anaranda randa kwenye viwanja vya shule ya msingi, utopolo ni shangazi. Na kombe hampati labda mliibe.
 
Ujasiri tunautoa kwa kuwaona jinsi mnavyocheza. Mnavyo cheza hamna tofauti na timu ya daraja la kwanza. Mechi nyingi mlizoshinda ni sababu ya bahati zaidi na ndio maana kanakuwa kagoli kamoja.Huwezi kuwa bingwa kwa kutegemea bahati zaidi. Kwa hiyo Utopolo hamuwezi kuwa bingwa kwa uchezaji wa kidaraja la kwanza.
 
Kwa staili yako ya uchezaji unaweza usifungwe lakini una droo nyingi mbele yako afadhali ufungwe mechi moja ushinde5 kuliko kudroo mechi tatu au nne ni hatari naziona droo mbili mbele yako dhidi ya kagera na mtibwa
 
Oooh!! Kumbe.

Mwisho wa siku hizi kauli hatutazisikia kamwe.
 
Ooh!! Basi hii bahati tutaendelea nayo mpaka tunakuwa mabingwa Mkuu.
 
Tatizo Watani mnajua sana kutusemea. Lol.

We jidanganye tu hamna droo hapo na ndio sababu hata Mtibwa alivyokukalisha Moro, siku tunacheza naye basi mlijua tutafanana mwisho wa siku tukamfunga palepale alipokuliza. Hivyo hao Kagera na Mtibwa naimani tunatoboa hizo mechi.
 
Ooh!! Basi hii bahati tutaendelea nayo mpaka tunakuwa mabingwa Mkuu.
Ukiangalia kwa makini bahati inazidi kuwakimbia ndio maana tunasema ubingwa msahau maana kwenye ujuzi hamuimariki. Sarpong ni yule yule wa juzi na huyu mpya mpaka akae sawa ligi imeisha simba bingwa.
 
Ukiangalia kwa makini bahati inazidi kuwakimbia ndio maana tunasema ubingwa msahau maana kwenye ujuzi hamuimariki. Sarpong ni yule yule wa juzi na huyu mpya mpaka akae sawa ligi imeisha simba bingwa.
Hizi kauli za kukatishana tamaa kwangu hazina nafasi Mkuu.

Mwisho wa msimu ndo naeza zikubali ila kwa sasa hapana aisee.
 
Ukiangalia kwa makini bahati inazidi kuwakimbia ndio maana tunasema ubingwa msahau maana kwenye ujuzi hamuimariki. Sarpong ni yule yule wa juzi na huyu mpya mpaka akae sawa ligi imeisha simba bingwa.
Hatukatai hatuna washambuliaji wa mana ila sio mwanzo wa kujiweka chini wakati mpaka sasa hamna point umenizidi.
 
Oooh!! Kumbe.

Mwisho wa siku hizi kauli hatutazisikia kamwe.
Mechi ambayo ingeamua ubingwa imepekwa mwez wa tano , hatujawah kua na jambo letu tukafeli hata Mara moja , yani hata Mara moja ,na haitotokea kamwe

Mechi mbili za simba za mwsho ambazo zilikua ni mechi maalumu

Moja tukaipa jina "TUNA JAMBO LETU"
Nyingine tukaipa jina "WAR IN DAR"

Mechi zote mbili tumeshinda kwa jumla ya aggregate ya goli 8-1
Yanga kala 4, Platinumz kala 4

Shinda Mechi zako zote zilo salia kabla ya may 8

Nami nishinde zote kabla ya may 8 (nafahamu by that time nitakua kilelen either kwa tofaut ya magoli au kwa points , tukutane mechi ya kuamua bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…