Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa wale Mashabiki wapenzi wa tasnia ya soka la Tanzania.

Unakaribishwa katika uzi maalumu wa Club ya Yanga Fc.

Hapa tunapata nafasi ya kuzungumzia masuala yote ya "Ligi Kuu Tanzania Bara". Pamoja na club ya Yanga Fc(Mabingwa watarajiwa 2014/15)

Tetesi za usajili msimu 2015/16
1.Hajibu(simba) kuelekea Yanga

Unakaribishwa mwanasoka!
 
Habari wana JANGWANI fc,je game yetu leo uko zimbabwe inaoneshwa ktk tv?


Mwenye kujua atujuze
 
ImageUploadedByJamiiForums1428131875.172353.jpg

Naona WATANI ZANGU mmeamua kufungua Bandari Mpya,,hahahaha
 
Game itaonyeshwa na Azam two,kuanzia saa kumi kamili jioni.Hiyo ni kwa mujibu ya ratiba ya Azam two tv.
Tusubir tuone kama kweli manake tunaisubiria sana hii game, ila si nasikia wale jamaa wa platinum waligoma kuonyesha hii game?
 
Harakati za msimu mpya zimeanza na ushindi mbele ya Cost,sasa tushikamane kutetea ubingwa
 
Back
Top Bottom