Kila la heri Ahly!Yanga ndo mnapenda kuwawaza Simba.
Na lawama zote hizo ni sababu Simba anakuja Kwa Kasi.
Al ahly alikuwa zamani sio sasa anafungika tu
Wenzio wanaogopa kishenzi wewe unataka waliongelee hilo jinamizi wanaloenda kukutana nalo?Ooh!! Muachage kutuongelea sasa.
Muwaongelee hao Al Ahly ambao kikawaida hamuwapati hata robo. Teh.
Kwani wewe huwa huoni!?ILA nyie Kwa lawama mmezidi.kila SIKU mnaonewa nyie Tu.
Timu mbovu hyo
Kwani wewe huwa huoni!?
Kila la heri Ahly!
Nyie waganga ndio mmeshapiga ramli hivyo!?
Hahahaaa!! Kama ni dua basi hii imeishia juu ya bati Mtani.Hahahahahahahahh......Ngoja kesho Mtibwa nakuhakikishia kesho ni droo nyingine tena.
Si ndio kasema wanaeza kaa meza moja eti kwa sasa na sio Yanga.Wenzio wanaogopa kishenzi wewe unataka waliongelee hilo jinamizi wanaloenda kukutana nalo?
Wanajitoa ufahamu tu hawa.Kwani wewe huwa huoni!?
Doooh!!Simba hii sio Ile mlioizoea simba mwaka huu anamuua Al ahly.
Tumesajili vizuri Kwa ajili ya mashindano hayo hatuna wasiwasi.
Droo Al ahly kashinda
Doooh!!
Duuh! Kwani katika press ya Mwakalebela ameongelea waamuzi upande wa hizi bao tatu Mkuu?Yaani mwamuzi alielekezwa golikipa wenu apigwe zile goli 3 nanyi mukawa munajikongoja kwa kusawazisha? Ingekua nyie ndiyo muliokua muna anza kushinda na Kagera Sugar wakasawazisha kidogo ingesound though siyo sana. Team yenu inaruhusu magoli, na hilo liko bayana.
😀😀Nasikia kuanzia jumatatu mtahamia ligi ya somalia
[emoji3][emoji3]
Haya maelekezo mnayowapa waamuzi mkisaidiana na tff yenu kuna siku mtasababisha maafa!
Na maamuzi ya waamuzi yakiwanufaisha muwe mnasema piaPoleni Mtani.
Japo tu yule mnayemuona hamnazo kwa kiwango chake cha ufikiri ameona alichokiongea ni sahihi kama nyie mlivyokujaga na mascreen kuonyesha namna mnaonewa na waamuzi miaka hiyo.
Au mmesahau?
Hahaha hahaha hahahaha kiaz wwTupinge [emoji41]
Tengenezeni timu acheni lawamaHaya maelekezo mnayowapa waamuzi mkisaidiana na tff yenu kuna siku mtasababisha maafa!
Ila nyie jamaa ni wakuchungwa sanaHaya maelekezo mnayowapa waamuzi mkisaidiana na tff yenu kuna siku mtasababisha maafa!