Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yaani mwamuzi alielekezwa golikipa wenu apigwe zile goli 3 nanyi mukawa munajikongoja kwa kusawazisha? Ingekua nyie ndiyo muliokua muna anza kushinda na Kagera Sugar wakasawazisha kidogo ingesound though siyo sana. Team yenu inaruhusu magoli, na hilo liko bayana.
Duuh! Kwani katika press ya Mwakalebela ameongelea waamuzi upande wa hizi bao tatu Mkuu?

Ukipata chance msikilize vizuri hebu.
 
Umemuona maneno mengi huyo.
Ila bahati nzuri mpira hauchezwi mdomoni
[emoji3][emoji3]
Screenshot_20210220-052926.jpg
 
Poleni Mtani.

Japo tu yule mnayemuona hamnazo kwa kiwango chake cha ufikiri ameona alichokiongea ni sahihi kama nyie mlivyokujaga na mascreen kuonyesha namna mnaonewa na waamuzi miaka hiyo.

Au mmesahau?
Na maamuzi ya waamuzi yakiwanufaisha muwe mnasema pia
 
Back
Top Bottom