Uwiii!! Hivyo kaumia kabla akiwa huko alikotoka au baada ya kufika kwa wananchi?Job nadhani ni majeruhi
Kama Metacha alichokifanya juzi anajua mwenyewe.Kikosi nimekipenda,na Leo matokeo yakiwa mabaya basi nitaamini mchawi Wa Mikia hawezekaniki. Ninkikosi cha mashambulizi hiki
ALL THE BEST TIMU YA WANANCHI..........POINT 3 TU.
😅😅😅 wale wa kauli za mitandaoni wanataka Yanga afungwe. 😅😅Stibwa wamekuja kipindi kibaya sanaaaa.
Leo mtibwa anaoga goli 3,
Amini nawambieni😁