Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Wenzako hutawaona hapa mpaka waone magoli..Hahahaaa!! Hapa hakuna hata mnyonge Bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako hutawaona hapa mpaka waone magoli..Hahahaaa!! Hapa hakuna hata mnyonge Bro.
Mi nawawakilisha. 😅Wenzako hutawaona hapa mpaka waone magoli..
Mizimu ya Mbeya. Lol. 😂😂😂😂Stibwa wamekuja kipindi kibaya sanaaaa.
Leo mtibwa anaoga goli 3,
Amini nawambieni😁
😆😆😆 tujifariji tu ndugu yangu🤣🤣🤣Mizimu ya Mbeya. Lol. 😂😂😂😂
😅😅😅 m b u m b u m b u wanaisoma post yako na kuihifadhi kwa matumizi ya baadae hasa matokeo yakiwa kinyume. 😂😂😂😂Leo jitu linakufa tatu, mtibwa amekuja muda mbaya kweli🤣🤣🤣
Wataitumia kama reference mkuu😁😁😅😅😅 m b u m b u m b u wanaisoma post yako na kuihifadhi kwa matumizi ya baadae hasa matokeo yakiwa kinyume. 😂😂😂😂
Mtu akiitumia kukuquote after match unampotezea tu wala hamna haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu. 😂😂😂Wataitumia kama reference mkuu😁😁
Dkk ya 21 Yanga 0 Mtibwa 0matokeo vipi huko
Haki gani mmenyimwa ??Kwa hiyo wakati Wa kutengeneza timu inabidi tuwe tunanyimwa haki zetu siyo!?
Hakuna namna,Mtu akiitumia kukuquote after match unampotezea tu wana hamna haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu. 😂😂😂
Sababu angekuwa anayajua matokeo angekujibu sasa kisha baadae muone nani yuko sahihi.
😅😅Hakuna namna,
Sema VIMEUMANA🤣🤣
Mkuu tuachie Yanga yetuMimi naiombea yanga ishinde leo.[emoji19][emoji19]