Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nliyokuwa nalalamika kama Mwananchi leo nadhan mmeyaona, timu haiko organized, haipigi hata pasi 4, wachezaji hawajiamn hata ball control shida! Sappong ni mzuri kuliko Fiston, ila anakosa mtu sahihi mwenye creativity aina kama Chama, Fiston uchezaji wake ni aina ya kina Yacouba, sikuona umuhim wa kumsajili.
Mwisho tukubali hii Yanga haiwezi kuchukua ubingwa. timu ni mbovu na mechi ijayo kwa polisi tutaumia zaid.
 
Yanga dirisha dogo watafute namba 8, Fei hana consistency, kama leo alishindwa kabisa kuichezesha timu, anabutuabutua, hili pira la leo la yanga nusu nipasue TV.
 
MVUA IMENYESHA SASA NI MUDA WA KUTAFUTA MATOBO YANAYOVUJA

Anaandika @exaud_msaka_hqbari

Kufungwa Yanga ilikuwa ni swala la kusubiri, yani ni kama kumuona Tembo juu ya mti ni kusubiri maana ataanguka tu

Ilikuwa inashangaza mpira wanaocheza Yanga kwa mechi za karibuni alafu unaambiwa hawajapoteza mchezo.

Mechi Tano za nyuma zilikuwa zinaonesha kabisa kuwa Yanga anafungwa Siku yoyote na wao walikuwa wanajua hilo

Yanga shukuruni Mungu mmefungwa sasa ili mjue shida iko wapi, maana ushindi na sare vilikuwa vinawafanya mdhani kikosi chenu hakina mapungufu

Yanga haina shida ya kocha ina shida ya wachezaji, wachezaji wao ndio wale ile ndio kiwango chao kabisa wala wasilaumiwe

Kama watamtimua Kaze watakuwa wanamuonea tu ila hana uwezo wa kubadilisha aina ile ya wachezaji, hana uwezo wa kumfanya Farid akapata goli kama lile alilokosa pale

Ubingwa wa Tanzania ni Mchakato sana na unahitaji kusubiri na kujipanga, sio kuamka na kuahidi tusipochukua mtuulize

Sasa Yanga wakae chini kistarabu waulizane tuna shida gani na tunaifanyaje, maana sasa Marefa na TFF hawahusiki
images.jpg
 
Kwa sababu mmekimbia nyuzi zenu kule nimeamua kuwafata kwenye page yenu niwacheke vizuri mlivyokuwa mnaota mtakuwa mabingwa wa magazetinii
 
Yanga dirisha dogo watafute namba 8, Fei hana consistency, kama leo alishindwa kabisa kuichezesha timu, anabutuabutua, hili pira la leo la yanga nusu nipasue TV.
Leo wakati naangalia mpira niliwambia watu kuhusu Fei. Dogo kwanza kacheza match nyingi sana bila kupumzika. Halafu kwangu mie siye mchezaji ambaye anaanzisha na kusupport mashambulizi. Yeye akitoa pass imeisha hiyo. Lakini ndio furaha kwa Mnyama
 
Ss hapo we unavyoona kombe kubwa lipi? Kule England Man utd ndiyo team kubwa kuliko zote kutokana na kuchukua ligi mara nyingi.
Kabla ya kuitwa ligi kuu ilikua ikitwaje ?? Simba anaongoza mzee baba
 
Back
Top Bottom