mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Timu ya Wananchi tunarudi tena na jumamosi hii tunaanza na KMC.View attachment 1746488
Manji anarudiHongereni Mtani.
Japo kuna saa hadi nawaonea choyo aisee na kutamani siku moja ije iwe na kwa Timu ya Wananchi kwani ni hatua kubwa mmepiga kwa sasa na hilo halina ubishi.
#IlaNtaniinabidituchunguzekwamkapamumewekanini. [emoji2957][emoji2957] manasiobureaisee [emoji2957][emoji2957]
Mtani tunarudi na ule moto wa first round.Mtani unarudi na droo au?
Tunaanzaje kuhama kwa mfano. Tutabanana huku huku VPL mpaka kieleweke.Mimi nilidhani mmeshahama ligi.
😅😅Manji anarudi
Msisahau kuandika pemben tunayofanya, yatakuja wasaidia
Subiri wamalize mechi hawana majibu[emoji23][emoji23][emoji23]Okwaaa mtani mechi yenu na KMC mpo ngapingapi,naomba unijuze minipo Misri huku nasaini kuchukua bilioni 2 zangu.
Ipo siku akili itawarudi na kugundua kuwa Msola ndio anayeiua timu ya Yanga. Na wanachama na washabiki kama vile wamerogwa MsolaHivi yanga sisi tumelogwa????
kwahiyo mkuu unaona kama vile mnaelekea kujimwagia kwenye boxer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu yangu hii wakati unaanza msimu tulikuwa na ndoto za kuchukua ubingwa lakn nacho kiona ile ndoto itakuwa NDOTO NYEVU
HT: No shot on target