lui03152
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 266
- 377
Mnaongoza ligi au mnaongoza kwa idadi ya kucheza mechi nyingi???Msisahau Yanga ndo anaongoza ligi,sijui tumeelewana ndugu zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaongoza ligi au mnaongoza kwa idadi ya kucheza mechi nyingi???Msisahau Yanga ndo anaongoza ligi,sijui tumeelewana ndugu zangu?
Siyo tu kuongoza, bali pia ni unbeaten 😀😀😀Msisahau Yanga ndo anaongoza ligi,sijui tumeelewana ndugu zangu?
Yani sare ni nyingi kushinda wavaaji.Mnaongoza ligi au mnaongoza kwa idadi ya kucheza mechi nyingi???
Tupo pamoja mkuu, hii timu itatuua yan!Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Adeyum daah,nimemkumbuka Jafary Muhammed.....Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Si mshabeba kombe la mapinduzi?Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Umefanya maamuzi sahihi, maana ni bora ushabikie rede kuliko kushabikia Utopolo.Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Yassin anajituma sana yule kijanaYanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
HAYA magazeti NDIO yanawadanganya mashabiki dawa yake kususia kutoingia uwanjani TU
Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Acha kabisa mambo ya football kwasababu timu inayochukua ubingwa ni moja kati ya nyingi ,haiwezekani kila MTU ashabikie timu inayochukua ubingwa.Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Nimesema napumnzika kuangalia na kushabikia games za Yanga mpaka msimu ujao, zipo timu nyingine nnazozipenda kwenye football pia na si lazima niishabikie Yanga mkuu!Acha kabisa mambo ya football kwasababu timu inayochukua ubingwa ni moja kati ya nyingi ,haiwezekani kila MTU ashabikie timu inayochukua ubingwa.