Yasin anajituma ila ana makosa mengi, na ndiyo maana timu ya taifa hawampang, siyo mpiga cross mzuri, angalia toka ligi ianze ana assist ngapi! hata Mukoko na yeye siku za karibun naona kama kiwango hakipo sawa, nahisi kashapata Malaya bongo.Yassin anajituma sana yule kijana
Mimi ni simba lakini yassin na mukoko ndio wachezaji wako nje ya hapo huna timu
Mkuu timu bado mpya sana,kikubwa tuombee wachezaji muhimu tuendelee kuwa nao msimu ujao huku tukiachana na mizigo na kuleta wachezaji wazuri,imagine kuanzia ile Yanga ya kina ajibu,gadiel,makambo na juzi hapa morison,iwapo tungeendelea kuwa na hao wachezaji kipindi hiki wakaungana na kina mukoko,kisinda na saidoo at least tungekua na timu ya ubingwa,tuendelee kujenga timu huku tukizuia wachezaji waandamizi kuondokaTimu yetu ina wachezaji mizigo wengi sana.......anyway tuliipenda wenyewe, natoka hapa taifa kinyonge kabisa......
Hapo kwa Feisal uko serious au umeteleza!?Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
Feisal ameaminisha watu wengi sana kuwa ni mzuri. Lakini mie kama shabiki wa Football Feisal ana mapungufu makubwa sana hasa kwenye kuanzisha mashambulizi. Kwenye kuzuia sina shida naye. Na mara nyingi pasi zake ni za pembeni ambazo hazina madhara sana. I stand to be corrected.
Sijateleza mkuu, Faisal ni mchezaji mzuri ila hana consistency, kama uliangalia vizuri game ya jana, alikuwa anacheza kama namba 10, wakati yeye ni namba 8, anapanda sana juu anaacha gape katikati, labda anakosa maelekezo sahihi kutoka kwa mwalim, ila ni miongon mwa vipaji vichache tulivyonavyo tanzania
Dakika 90 zinamshinda, sio yete tu ni tatizo kwa wachezaji wengi wa Yanga yaani muda unavyozidi kuyoyoma wanaonesha kuchoka hata km timu inahitaji ushindi.Sijateleza mkuu, Faisal ni mchezaji mzuri ila hana consistency, kama uliangalia vizuri game ya jana, alikuwa anacheza kama namba 10, wakati yeye ni namba 8, anapanda sana juu anaacha gape katikati, labda anakosa maelekezo sahihi kutoka kwa mwalim, ila ni miongon mwa vipaji vichache tulivyonavyo tanzania
Aiseee!! Acha kabisa Mtani.
Na ndio inakoelekea Mkuu.Tupo pamoja mkuu, hii timu itatuua yan!
Ielekee Mara ngapi dadangu ishatuua tayar had hapa Simba n bingwa lakn utamsikia BUMBULI sisi tunaongoza ligi s hao wengne mnaowasemaNa ndio inakoelekea Mkuu.
Kuna saa nakuwa na wasiwasi walio mtari wa mbele pale Yanga si jabu ni mamluki pia na tunavyoteseka namna hii huko ndio furaha kwao.Ielekee Mara ngapi dadangu ishatuua tayar had hapa Simba n bingwa lakn utamsikia BUMBULI sisi tunaongoza ligi s hao wengne mnaowasema
Jamaa hafiti kabisa ile nafas ile mil 5 ya faini Bora tungetengeneza chumba kimoja pale jangwani
Hivi manara amelipa ile mil 100 sijui amabyo mwakalebelea alisema alitukanwa yeye na kuichafua brand ya yanga huko zanzbar wakati wa mapinduzi?Kuna saa nakuwa na wasiwasi walio mtari wa mbele pale Yanga si jabu ni mamluki pia na tunavyoteseka namna hii huko ndio furaha kwao.
Mi siku hizi hata siwasikilizagi hao kina Bumbuli kwani naona wananichosha tu huku kila siku tunazidi kuanguka lakini wakija mbele ya hadhara hizo kauli zao sasa waeza jiuliza wanatuonaje hawa. [emoji853][emoji853]
Sasa mkuu hakuna namna, pamoja na kuipenda Yanga mpira ndiyo starehe yangu kubwa sana, inabidi tu niende no way outPole Mkuu.
Mi ndo mana nshaacha hizi mambo za kwenda Taifa mana naishiaga kupata maumivu tu.
Cc. aminas
Manara alipe wapi mana cha zaidi alimkejeli tu na kumuona hamnazo.Hivi manara amelipa ile mil 100 sijui amabyo mwakalebelea alisema alitukanwa yeye na kuichafua brand ya yanga huko zanzbar wakati wa mapinduzi?
Hapo ndio ujue weled wa top leaders wa klabu yetu yaan mtu anaita press kwa vitu vya hovyo hovyo ambavyo n mipasho kwann wasimfungie tu maisha yule makamu wetu
Mie nilishashindwa aisee Mkuu. Muzidi kutuwakilisha.Sasa mkuu hakuna namna, pamoja na kuipenda Yanga mpira ndiyo starehe yangu kubwa sana, inabidi tu niende no way out