Waanze na MwakalebelaTetesi
YANGA kuacha wachezaji 9 msimu huu baada ya ligi kuisha je unafikiri Nani na Nani waachwe
Pole sana kwa unayopitiaNipo Mtani.
YATAKWISHA in Troisième Ceil voice. Teh.Pole sana kwa unayopitia
Adeyun asikosekane kwenye hiyo list yan!Tetesi
YANGA kuacha wachezaji 9 msimu huu baada ya ligi kuisha je unafikiri Nani na Nani waachwe
Ni wale waliobebwa juu juu kama enzi za utumwa na utwana au?Tetesi
YANGA kuacha wachezaji 9 msimu huu baada ya ligi kuisha je unafikiri Nani na Nani waachwe
Hahaha kwa hyo usiku wa deni haukawii kukuchaSiku ya mateso imefika tena
Time imeshakufahiiIna maana vyura ndiyo wamekata tamaa kabisa na timu yao, Yaani hamna hata anae toa hata update za game kwenye uzi wenu.si mnaongoza ligi nyie.
Utopolo 1 Biashara 2
Hongereni kwa ushindi utopolo ila timu lenu linacheza kama liko daraja la nne.Ny*ko
Kagoli kenyewe ka offside! [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Nmeangalia game ya jana, kidogo kuna mabadiliko, lakin beki za pemben Yanga bado tuna changamoto kubwa, na hata kwa washambuaji napo shida ni ile ile, viungo pia kuna makosa wanafanya, hii mechi ya simba imekuja mapema sana, kama tutaendelea kucheza hivi, tutalia vibaya sana mechi ya watan.
AiseeYATAKWISHA in Troisième Ceil voice. Teh.