Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nmeangalia game ya jana, kidogo kuna mabadiliko, lakin beki za pemben Yanga bado tuna changamoto kubwa, na hata kwa washambuaji napo shida ni ile ile, viungo pia kuna makosa wanafanya, hii mechi ya simba imekuja mapema sana, kama tutaendelea kucheza hivi, tutalia vibaya sana mechi ya watan.
 
Kagoli kenyewe ka offside! [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
IMG_20210418_153031.jpg
 
Back
Top Bottom