Ni kweli Yatakwisha haya. π mpito tu huu.Aisee
Ni kweli Yatakwisha haya. [emoji28] mpito tu huu.
Sasa kama wana uwezo wa kufunga wachezaji, si wangekuwa club bingwa ya dunia! Mpira ni science, achana na hizo blaa blaa mkuu!Tusife moyo bado ninaamini tuna kikosi kizuri tu
Shida hawa ndg zetu hawapendi tushinde game zetu wanachofanya ni kudhoofisha timu yetu isifungwe magoli yaani "tumefungwa"
Wachezaji wanakua wazito uwanjani.....tofauti na hali ya timu ilivyokua miezi mitatu ilyopita
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa We Nicheke tu Ntani π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikosi kizuri labda cha kucheza rede.Tusife moyo bado ninaamini tuna kikosi kizuri tu
Shida hawa ndg zetu hawapendi tushinde game zetu wanachofanya ni kudhoofisha timu yetu isifungwe magoli yaani "tumefungwa"
Wachezaji wanakua wazito uwanjani.....tofauti na hali ya timu ilivyokua miezi mitatu ilyopita
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yeye mjanja kaja na kajibegi tu. Anajua lolote linaweza tokeaKocha wetu mpya ametua nchini na msaidizi wakeView attachment 1758330
Hata wewe ukienda kureport kituo chako kipya cha kazi huwezi kwenda na kontena zimaYeye mjanja kaja na kajibegi tu. Anajua lolote linaweza tokea
Nenda Vunja bei kanunue jezi ya buku 5 mkuuNgapi huko nyie utopolo
HahahhaaahNenda Vunja bei kanunue jezi ya buku 5 mkuu
Hawa makocha wa kibongo wana EGO sana, wanajiona akina Gadiola wa bongo wakati uwezo wao ni mdogo sana! Alafu Sapong ni mchezaji mzuri kuliko Yacouba na Nchimbi, ana football brain hata kama hajafunga mda mrefu, kwa kocha anayejua mpira hawezi kumweka Sapong bench akamuanzisha Nchimbi.Kocha mpya akabidhiwe timu, hawa makocha wakwetu ni shida sana, Mwambusi leo baadhi ya wachezaji kipindi cha 2 kama Kisinda, Yacouba na Nchimbi hakuna walilokuwa wanalifanya, walionekana wamechoka sana, anawaacha tu, pia inaonekana ana mgogoro na baadhi wachezaji, Timu za mabeberu kocha akifeli ku control dressing room wanamtimua saa hiyo hiyo, Viongozi wetu nao wajiongeze.