Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tusife moyo bado ninaamini tuna kikosi kizuri tu
Shida hawa ndg zetu hawapendi tushinde game zetu wanachofanya ni kudhoofisha timu yetu isifungwe magoli yaani "tumefungwa"
Wachezaji wanakua wazito uwanjani.....tofauti na hali ya timu ilivyokua miezi mitatu ilyopita

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama wana uwezo wa kufunga wachezaji, si wangekuwa club bingwa ya dunia! Mpira ni science, achana na hizo blaa blaa mkuu!
 
Tusife moyo bado ninaamini tuna kikosi kizuri tu
Shida hawa ndg zetu hawapendi tushinde game zetu wanachofanya ni kudhoofisha timu yetu isifungwe magoli yaani "tumefungwa"
Wachezaji wanakua wazito uwanjani.....tofauti na hali ya timu ilivyokua miezi mitatu ilyopita

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kikosi kizuri labda cha kucheza rede.
 
Kocha wetu mpya ametua nchini na msaidizi wake
FB_IMG_1618926081227.jpg
 
Full time Yanga 3-1 Gwambina

Ila japo tumeshinda,hapa uwanjani baadhi ya wachezaji wanaonekana wanamalalamiko na Benchi la Mwambusi.......Ntibanzonkiza baada ya kufunga goli ameonekana akiomba Sub......na alitoka kabisa.

Kifupi timu inaonekana haina umoja
 
Kocha mpya akabidhiwe timu, hawa makocha wakwetu ni shida sana, Mwambusi leo baadhi ya wachezaji kipindi cha 2 kama Kisinda, Yacouba na Nchimbi hakuna walilokuwa wanalifanya, walionekana wamechoka sana, anawaacha tu, pia inaonekana ana mgogoro na baadhi wachezaji, Timu za mabeberu kocha akifeli ku control dressing room wanamtimua saa hiyo hiyo, Viongozi wetu nao wajiongeze.
 
Hawa makocha wa kibongo wana EGO sana, wanajiona akina Gadiola wa bongo wakati uwezo wao ni mdogo sana! Alafu Sapong ni mchezaji mzuri kuliko Yacouba na Nchimbi, ana football brain hata kama hajafunga mda mrefu, kwa kocha anayejua mpira hawezi kumweka Sapong bench akamuanzisha Nchimbi.
 
Nimewasilina na mchezaji mmoja wa Yanga asubuhi hii ananiambia kuwa urafiki wa baadhi ya wachezaji na viongozi hasa GSM imetengeneza makundi ndani ya timu, kuna baadhi ya wachezaji hawamuheshimu kabisa kocha akiwemo Saido na genge lake.

Kuinusuru timu, bora benchi livunjwe akabidhiwe kocha mpya timu lasivyo itakuwa ngumu kupata matokeo
 
Back
Top Bottom